Manifestation Secret

Nadhani nimekuelewa zaidi ya wote. Je naruhusiwa kuja PM?
 
Tukiacha kupanda miti na hao nyuki jambo gan lingine unaweza fanya kwa nature
 
Nzuri,na imekaa kiuhalisia kabisa,japo sijajua kwa Nini umeondoka ukiweweseka ki wendawazimu
 
Kuna matajiri kila siku wanakua kimapato na mingo zao ni miti
Njoo NJOMBE ujionee mwenyewe wakinga na miscania ya kutosha
 
Kuna kitu nadhani hakijaeleweka. Dhamira yako ndio italeta majibu....yaani nature itakujibu kulingana na ndani yako ilivyo. Je unapanda miti kwa ajili gani?
Unafuga mbuzi kwa ajili gani?
Mueleweni vizuri mtoa mada.
Kumbuka in nature hakuna kitu kizuri Wala kibaya.
Kuna matajiri kila siku wanakua kimapato na mingo zao ni miti
Njoo NJOMBE ujionee mwenyewe wakinga na miscania ya kutosha
 
Ukiliangalia vizuri hili utagundua kuwa ni mstari ule ule wa sadaka. Japo hapa wanalengwa Sana wahitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…