Mkuu si Wasira aliapa kule Zanzibar kuwa hawako tayari kupewa masharti na UKAWA sa kikao cha nini?
Mzee Mangula ana akili na busara sana, ndiyo maana huyu Mzee sio maarufu ndani ya CCM, CCM watu maarufu ndio hao kina Wasira, Nape, Nchemba na wengine.
Ukiwa na fikra pana za maslahi mapana ya Taifa kwa CCM utakuwa upo-upo tu, huonekani mtu wa maana.