micharazo09 Member Joined Aug 29, 2015 Posts 62 Reaction score 8 Dec 8, 2015 #1 hii ni kwa wote siku hizi mwanza mgao wa umeme umeanza hili suala inabidi hata raisi JPM aliangalie kwakweli kwasababu wananchi ndo tunateseka kwakweli hii hali sio nzuri
hii ni kwa wote siku hizi mwanza mgao wa umeme umeanza hili suala inabidi hata raisi JPM aliangalie kwakweli kwasababu wananchi ndo tunateseka kwakweli hii hali sio nzuri