kama hilo shitaka lilikuwa moja ya mashitaka chini ya Capita act, mbona unaweza kutabili tu ukawa odds kwa mhindi halafu ukasubiri.
Binafsi nimejaribu kuwa na utulivu na kuuliza watalaam, majibu ni kulikuwa na shitaka lingine la uchochezi chini ya hili la Uhaini, washitaka aka Jamhuri wao Capital act ilikuwa Uhaini juu na mengine chini.
TL na team yake wamepangua Capita act baada ya upande wa pili kushindwa kuthibitisha Uhaini na judges kama referees kazi yao ni kutoa maamuzi, sasa Jamhuri kamam wameweza kutetea hili la uchochezi na TL na team yake kushindwa nayo inabaki kwenye mikono ya judges.
ndani ya mitaa ya Mogadishu - Somalia.