Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Mhh, huyu dada na maneno ya Mange kuwafundisha wenzake jinsi ya kuwawinda Wanaume wenye hela zao yaani Mabuzi au Wadhamini in English (Sponsor) yako kama chanda na pete. Yameiva kwa kukalangizwa hasa. Maneno ovyooo ila wimbo nimeupenda sana hasa sauti ya bibie na instruments zimetulia....
Nasikia huu wimbo umepigwa marufuku USA kisa unafundisha mabinti kuwa ma Golddigrers.
Weekend njema wote, buy buy byeeee......
Bibie na Jaguar alilolipata kwa kuolewa na Mthungu.....Bahati ya mwenzio....

Last edited by a moderator: