Gilda Mushi
Member
- Aug 20, 2015
- 35
- 20
Nimeipenda... mwiba unatokea ulipoingiliaMbona nyie wakati anamchana Lowasa mlifurahia !! Mwiba unatokea ulipoingilia!!
We don't judge the messenger we judge the message
Najua watu wengi kwenye mitandao ya kijamii wanamfahamu Mange kwa kuongea kwake kwingi na mamb mengi anayoyafanya kwenye mitandao hiyo.
Kwa sasa Mange amekua ni gumzo kutokana na Sauti inayosemekana ni ya Mwamvita Makamba aliyoiweka kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Baadhi ya watu wameonekana kufurahia kitendo hichi kwa kumuita Mange kuwa ni shujaa na mtu anayeweka wazi maovu.
Mimi sipingani na jambo uamuzi wao ila nina swali moja kwa hawa watu wanaomshabikia Mange.
Je! Mange huyu mnaemsifu leo ndiyo yule mliekua mnamtukana jana?
Ni kweli umeamua kurudia matapishi yenu ya jana kwa vile tu leo yamepuliziwa marashi?
Mlimtukana sana Mange alipokua akimsifuu JM mkamuona ni mpumbavu na msema uongo namba moja,ila leo kwavile amemponda basi na nyinyi mmegeuka na kumsifu.
Embu jichunguze wewe mtanzania acha kupelekeshwa kama upepo, kabla hujasambaza au kuamini kitu kichunguze kwanza.
Kama jana ulimuona Mange ni Muongo, nini kimekufanya leo umuamini?
Mmmmmmh! Kahaba kumbe mi sipo.Mage ni kahaba tena asiyejielewa
Jf hakuna machizi tutamtoa baru mapema kabisa.Nasikia kasema akitoka huko anahamia kutukana JF,hapa asithubutu tutamfanya kichaa atembee uchi hovyo barabarani
@Gilder Mushi!Najua watu wengi kwenye mitandao ya kijamii wanamfahamu Mange kwa kuongea kwake kwingi na mamb mengi anayoyafanya kwenye mitandao hiyo.
Kwa sasa Mange amekua ni gumzo kutokana na Sauti inayosemekana ni ya Mwamvita Makamba aliyoiweka kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Baadhi ya watu wameonekana kufurahia kitendo hichi kwa kumuita Mange kuwa ni shujaa na mtu anayeweka wazi maovu.
Mimi sipingani na jambo uamuzi wao ila nina swali moja kwa hawa watu wanaomshabikia Mange.
Je! Mange huyu mnaemsifu leo ndiyo yule mliekua mnamtukana jana?
Ni kweli umeamua kurudia matapishi yenu ya jana kwa vile tu leo yamepuliziwa marashi?
Mlimtukana sana Mange alipokua akimsifuu JM mkamuona ni mpumbavu na msema uongo namba moja,ila leo kwavile amemponda basi na nyinyi mmegeuka na kumsifu.
Embu jichunguze wewe mtanzania acha kupelekeshwa kama upepo, kabla hujasambaza au kuamini kitu kichunguze kwanza.
Kama jana ulimuona Mange ni Muongo, nini kimekufanya leo umuamini?
Mi ninauliza nyie mliomtukana wakati ule nini kimebadilika leo unamuamini?Nimeipenda... mwiba unatokea ulipoingilia
Aaah vp naona mnalipa kisasi kwa maneno ya mpuuziNdo umejua leo?? Wakati wa kampeni ulikuwa hujui?? Hata saa mbovu kuna muda inasema ukweli
Bibie mi nimependa tu huo msemo habari ya Mange hata siijuiMi ninauliza nyie mliomtukana wakati ule nini kimebadilika leo unamuamini?
kama mamaako mzazi!¡!!Mage ni kahaba tena asiyejielewa
Nenda kamwambie mwenyewe kule Instagram kama una ubavu huo.Najua watu wengi kwenye mitandao ya kijamii wanamfahamu Mange kwa kuongea kwake kwingi na mamb mengi anayoyafanya kwenye mitandao hiyo.
Kwa sasa Mange amekua ni gumzo kutokana na Sauti inayosemekana ni ya Mwamvita Makamba aliyoiweka kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Baadhi ya watu wameonekana kufurahia kitendo hichi kwa kumuita Mange kuwa ni shujaa na mtu anayeweka wazi maovu.
Mimi sipingani na jambo uamuzi wao ila nina swali moja kwa hawa watu wanaomshabikia Mange.
Je! Mange huyu mnaemsifu leo ndiyo yule mliekua mnamtukana jana?
Ni kweli umeamua kurudia matapishi yenu ya jana kwa vile tu leo yamepuliziwa marashi?
Mlimtukana sana Mange alipokua akimsifuu JM mkamuona ni mpumbavu na msema uongo namba moja,ila leo kwavile amemponda basi na nyinyi mmegeuka na kumsifu.
Embu jichunguze wewe mtanzania acha kupelekeshwa kama upepo, kabla hujasambaza au kuamini kitu kichunguze kwanza.
Kama jana ulimuona Mange ni Muongo, nini kimekufanya leo umuamini?
Kamwambie Instagram kama wewe mwanaume...Mage ni kahaba tena asiyejielewa