LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,349
- 36,302
UWIIII Poleni sana maana mliniomba sana niweke hii issue ya Escrow ila nikawa bize mnoooo….
sasa kwa vile nisharudi kwa OBAMA ,LAND OF THE FREE, NGOJA NIONGEE NACHOJISKIA….LOL..
Kwanza kabisa i think baba yake TOP designer wetu Eve huyo Rugemarila alitakiwa kupelekwa kariakoo ,walalla hoi wampige mawe mpaka ajirestiepeacefully.
Aisee huyu baba na familia yake wamekula nchi hii mpaka basi… Eti mpaka mwanae Eve akampa 800Million… Kha!!!! Duh, we Eve tugawane umaskini jamani, 800MILLION? DUH NOMA SANA NCHI HII… Haki ya nani msipozirudisha hizo pesa mie naona turuhisiwe kuwapokonya hawa watu handbang simu au chochote kila kila tunapowona mpaka hizp pesa walizochota zirudi..
Yani hawa wahaya jamani, imagine huyo baba yao akampa na binti yake mwingine 800million binti anaitea Jessica. jamani jamani jamani hii familia inatakiwa tuipige mawe tuuuuuuuuuu….
kwanza mngeacha kwenda kushona kwa Eve, she doesnt even need the money maana pesa zenu zoooooote familia yao wameziiba. Bora hata mkashone kwa Mrs. Chori ila kwa Eve hapana aiseeeee yani familia yao wameihujumu hii nchi vibaya mnoooooo……Msishone kwa Eve acha awashonee wauza unga na waizi wenzie maana wana hela za unga na sio nye mnaotolea jasho pesa zenu… DUH HII FAMILIA NI MAJAMBAZIIIIIIIIIIIIII….. Yani mpaka alituma kwenye kampuni yao ya Mabibo beer wines pesa jamani, hivi ni uroho gani huu jamani? Watu tayari wana pesa ila bado tu, jamani piga jiweeeeeeeeeeeeeeeee…..Atakae kwenda kushona kwa Eve ni fisadi tu na yeye na hana huruma na watanzania wenzake na atakae kunywa Heineken ni mlevi tu, hahahahah uwiii my sister Amina Kimambi Heineken ndo kinywaji chake, namtoaje sijui kwa mfano..hahahahahhahahahahha
Pichani, Eve wa Escrow collections (Eve collections tupa kule kitu escrows collections) na babake Rugemarila ambae ndo kubwa la maadui wa Escrow….hahaha…
Waone nyuso kavuuuu, kazi kufanya maparty expensive kumbe pesa za wananchi… Hivi kuna wahaya matajiri kama hawa Tanzania?
Kwanini hamridhiki nyie jamani? Kha!! Eve hizo 800m usipozirudsha haki ya nani tutakupa stress humu mpaka hizo hips za kihaya ziishe bila diet…mfyuuuuuu
Another person anaehitaji kupigwa mawe ni Andrew Chenge. Hivi huyu baba kuna scandal ya ufisadi ambayo hayupo? yani kila dili la mahela lazma atajwe? ana nini huyu baba jamani? Yani sijui kwanini Tanzania tunacheka na mafisadi ***** zao? yani ingekuwa huku kwa Obama wangekula 10yrs in jail na kufilisiwa juu,mnakumbuka issue ya Enron huku marekani? watu walichezea jela na kufilisiwa. Huyu chenge kaibia watanzania weeee alafu pesa anatengeneza maisha ya watoto wake. Ana binti yake kawa partner kwenye law firm kubwaaa hapo bongo. Staki taja jina la law firm…loL…Guess what?
huyu mtoto sidhani hata kama an 5yrs work experience toka agraduate university eti kawa partner kwenye hiyo firm, sasa jiulize kawaje partner? babake naskia kanunua upartner wa mwanae for 5 billion tsh….. Mnaona eeeh mnaibiwa alafu wao wanatengeneza future za watoto wao kwanini tusipige mawe hawa?? Ila watoto wa chenge wana akili hawana show off za kijinga jinga maana wanajua pesa zao sio zao ni zetu wanatanzania….lol…. Ila kuna mijinga mingine pesa za unga,utapeli naa ufisdadi bado wanataka show off…. Naona nibadilishe ule msemo wangu wa mashauzi yanataka pesa to "mashauzi yanataka pesa halali" Mashauzi na pesa chafu unatafuta kupigwa pingu tu…..hahahahahahahhaha
Ngeleja ,Yona wamejitia aibu tu, Kha! yani wamejichafulia majina over 40million only???? , hiyo hata mie muke wa muzungu wangenikopa ningewafanyia wire transfer hahahaa, ila ingebidi walipe la sivyo pangechimbikaaaaa………
Uwiii mie naowataka ni wale washenzi ambao majina yao bado yapo kapuni, waleeee waliokwenda na mifuko ya rambooooooooooooooo benki kuchotaaa jamani lini hawa watatajwa jamani????
Ila nna swali la kizushi, hivi tuseme mmoja wetu angepewa mchongo wa Escrow tungekataa kupokea??? hahahahahahahhahahhahhaha,,,,,tuweni wa kweli tu…..Mie kusema ukweli yani pesa yoyote ambayo ni ya utapeli au ufisadi i cant touch, Yani napenda ku enjoy pesa yangu, napenda kushow off , hahahaha, sasa hizo pesa za kifisadi hivyo ingebidi nijifiche fiche nazo kwa kweli hapo nisingeweza….lol…..Kama jamaa flani anauza unga bongo naskia ndani ana Bugatti alafu anaogopa hata kulitoa nje kuliendesha maana anajua kila mtu ataanza kumfatilia sasa kaishia kulipaki ndani basi analiangalia basi….. Maisha gani sasa hayo jamani?
PS: Sina mpango wa kwenda Tanzania for atleast 5 yrs……. maana biashara yangu yote online tu sasa….. So hii blog now itakuwa ya kuwekana sawa ila tu staki chuki binafsi yani humu tuwe tunaongelea facts only na ushahidi sio issue ya kuwaharibia tu watu maisha yao bila sababu maana hata Mungu hapendi uonevu……… Na mtu akinisue atajiju akishinda kesi poa ntamlipa installments za dola 20 kila mwezi mpaka nakufaaaaa,..hahahahaha….. Yani siogopi hata uchawi maana najua uchawi hauvuki bahari hirizi zote zitaishia huko huko Indian ocean kwenu…hehehehhe
CHANZO: U-TURN