Mange kanimaindi kunitukana na kuniblock Instagram, nikafurahi

Mange kanimaindi kunitukana na kuniblock Instagram, nikafurahi

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,331
Reaction score
4,241
Huwezi amini nimem win Mange kisaikolojia. Kwenye ile posti yake ya juzi ya BOT kuprint matrillion nilimkera Sana dada wa Taifa.

Halafu nikacopy na kupost na kupaste kama mara mia mfululizo.

Baada ya dakika kumi amini usiamini dada wa taifa akanijibu na kunitukana JINGA WEWE na kuniblock.

Yani nilifurahi kwa kum win kisaikolojia kwa kurukaruka.

Kazoea kutukana na kudhalilisha watu naye acha yamkute.

Halafu hajui nina account za insta zaidi ya ishirini na ninamfollow maamae NI kama kampiga chura teke.

adriz
 
Halafu hajui nina account za insta zaidi ya ishirini na ninamfollow maamae NI kama kampiga chura teke.
wengwine na mwie huko akauntwi tulisahau unywira si ndiwoo pasiwodi na fogoti...... email zishatumika baswi kupitwa tu na ywa instagram yotweeee

eeeh ilwa wajipwa moywo kwa muntu ana bloki lwandwa hatwa mamwia kwa one day
 
Instagram hauwezi copy na paste same sentence x100. AI itajua ni spam.
 
Umepata bilioni ngapi baada ya kufanya ulichofanya na kupata ushindi wa kublokiwa.

Akina Abdul and associates wanatumiana miamala ya mabilioni kwa mabilioni..wewe chokambaya unafurahia kublokiwa...haya sawa.
 
wengwine na mwie huko akauntwi tulisahau unywira si ndiwoo pasiwodi na fogoti...... email zishatumika baswi kupitwa tu na ywa instagram yotweeee

eeeh ilwa wajipwa moywo kwa muntu ana bloki lwandwa hatwa mamwia kwa one day

Mkuu wewe Umekunywa nini? 😂😂😂
Mbona ni juma tatu
 
Back
Top Bottom