Nasikia Mange aliona picha za babaake analiwa kiboga ndio akili imemruka mpaka leo. Yaani jinsi alivyo, anatakiwa waletwe mashehe na mujahidina wamswalie, kisha waje mapadre, maaskofu, makadinali, Lugambwa, Pengo, Gwajima wamuombee na baadae apelekwe kwa bibi apungwe. Hapo ndio mumtafutie psychologist amsaidie.