Mangatar Classic with My PrettyCuttyLevna

Mangatar Classic with My PrettyCuttyLevna

MangstarClassic

New Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
3
Reaction score
0
MATAZAMIO YA HIP HOP KATIKA LUGHA LAINI

Hip Hop- ni aina ya muziki ambao unaimbwa kwa staili ya kurap/kufokafoka kwakuzingatia Vina vya Mashair.

Aina za HIP HOP
1:HIP HOP YABIASHARA
2:HIP HOP YA KUJENGA JAMII

TUTAENDELEA CKU IJAYO . am a Mangstar Classic
 
BREAKING NEWS

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba,basi la Mohamed Trans lenye namba za usajili T 468 CAV lililokuwa likitokea Dar kwenda Mwanza likiwa na abiria 65,majira ya saa nane mchana lilisimama maeneo ya Gairo na abiria wote kupata chakula cha mchana kisha wakaendelea na safari.
 
Acha utoto...hiv form five mnaanza lin mkapunguza hiz thread za kitoto?? Ee r tired of this shit...
 
Acha utoto...hiv form five mnaanza lin mkapunguza hiz thread za kitoto?? Ee r tired of this shit...
kama mimi form 5 basi ww ni form maana umeshindwa hata kutofautisha mtoa thread na mchangiaji tu. na kubwa zaid umeshindwa hata kutafakari kwa nini nitoe koment hyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom