tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,216
Nadhan mtoa mada bado anatumia mbinu za zamaniyani sio siri ndugu, ki ukweli nimesahau kutongoza, nakumbuka enzi zile unafukuzia yani mpaka kichwa kinauma, siku hizi ukipata no tu, na ukifanya ayo ya kumjali unakula mzgo tena anakupa wote. sasa nashangaa kuona bado kuna watu wanatongoza na kupewa hayo majibu.
Mim huwa nakereka kama akiwa bikira.kwakweli bikira sipendi aisee
huwa nachukia napoa ambiawa
-Nina mtu wangu,
-Ngoja nikajifikilie,
-unafanya kazi gani,
Salute kwakooSimpo...unanipendea nn? - Napenda jinsi ulivyo.......ntajuaje unanipenda??? - ndo maana nipo hapa....wengine huwaoni?? - wengine upuuzi mtupu hakuna anaekuzidi......akikwambia huna mvuto, we chomoa burungutu mfukoni halafu unarudisha...na akikwambia sitaki muombe contact za rafiki yake
Simpo...unanipendea nn? - Napenda jinsi ulivyo.......ntajuaje unanipenda??? - ndo maana nipo hapa....wengine huwaoni?? - wengine upuuzi mtupu hakuna anaekuzidi......akikwambia huna mvuto, we chomoa burungutu mfukoni halafu unarudisha...na akikwambia sitaki muombe contact za rafiki yake

Hivi bado kuna wanaume wanatongoza?
why mimi???
kwa kweli nimesahau kutongoza hivi kupo kweli? maana siku hizi ni mwendo wa twende diner, baada ya hapo siku 2 umepiga mzigo. kwahiyo mimi hakuna neno linalonikera.
wengine wanauliza kabisa,
- wewe kibamia au mandingo!??
wenzangu na mm apa lazima watende maovu ya kudanganya