Maneno ya Willium Ngeleja na baadhi ya wana CCM mwaka 2015 na mwaka 2017 kuhusu pesa za ESCROW

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,194
Anaandika Bulendu katika ukurasa wake wa facebook

Kindercrazy!!!!!

"Nirudishe pesa zipi? Zimekwishatumika zote kwenye shughuli za maendeleo jimboni Sengerema na kiasi kilichobaki cha Sh.Milioni 13 nililipia kodi kwa mujibu wa sheria kama taarifa hii inavyoonesha. Kwa hiyo fedha yote imekwisha."(Willium Ngeleja:14.5.2015).

Kuna kundi la watu kuanzia bungeni mpaka mtandaoni likapambana kweli na kusema wanaosema hizi pesa za umma wana wivu na wachochezi,baadhi ya waliosema hizi ni pesa za umma wakafunguliwa kesi na kuzomewa bungeni na kuzodolewa mtandaoni!.

BAADA YA MIAKA MIWILI SASA...

"Nimerudisha fedha hizi(Milioni 40.4) ili kulinda heshima na maslahi mapana ya nchi yangu,chama changu,serikali yangu,jimbo langu la Sengerema na familia yangu"(Willium Ngeleja 12.7.2017).

Waliosimama kidete kusema hizi siyo pesa za umma sasa wanasema,hawa wametuibia,pesa hizi zirudi,haiwezekani pesa za umma ziibiwe!.

Siyo siri katika mazingira kama haya, Am kinder crazy!
 
Huwezi pata nchi ingine hii inaitwa Made in Tanzania..
Raisi wangu fanya kazi hao ndio ng'ombe wasio na mkia..wameanza kuonekana tofauti na wenye mkia.
 
Angetuambia amezirudisha kupitia tundu lipi ili tuunganishe vizuri na agizo la mkulu
TAKUKURU wamesema ni lazima sheria ifuate "mkondo" kabla ya hilo imebidi jamaa azitoe kwa kupitia njia iliyo karibu na neno kufuata "Mkondo" a, e, i, o, "u"
 
Anaandika Bulendu katika ukurasa wake wa facebook

Kindercrazy!!!!!

"Nirudishe pesa zipi? Zimekwishatumika zote kwenye shughuli za maendeleo jimboni Sengerema na kiasi kilichobaki cha Sh.Milioni 13 nililipia kodi kwa mujibu wa sheria kama taarifa hii inavyoonesha. Kwa hiyo fedha yote imekwisha."(Willium Ngeleja:14.5.2015).

Kuna kundi la watu kuanzia bungeni mpaka mtandaoni likapambana kweli na kusema wanaosema hizi pesa za umma wana wivu na wachochezi,baadhi ya waliosema hizi ni pesa za umma wakafunguliwa kesi na kuzomewa bungeni na kuzodolewa mtandaoni!.

BAADA YA MIAKA MIWILI SASA...

"Nimerudisha fedha hizi(Milioni 40.4) ili kulinda heshima na maslahi mapana ya nchi yangu,chama changu,serikali yangu,jimbo langu la Sengerema na familia yangu"(Willium Ngeleja 12.7.2017).

Waliosimama kidete kusema hizi siyo pesa za umma sasa wanasema,hawa wametuibia,pesa hizi zirudi,haiwezekani pesa za umma ziibiwe!.

Siyo siri katika mazingira kama haya, Am kinder crazy!

ingekuwa nchi ya watu walio hai kingenuka huko uzombini buruzweni tuu kubalini kidogo swafi
 
MIE

BADO NINAAMINI HIZO HELA SIYO ZA UMMA HATA KIDOGO
 
Back
Top Bottom