Maneno ya Ukweli mtupu haya

Hivi wewe mkuu Mzizi Mkavu ni mtu wa namna gani? Je, ni kijana, mtu wa makamo au mzee? Ni msomi wa chuo kikuu au ana elimu ya kawaida nk na nk. haya ni baadhi ya maswali ambayo huwa najiuliza kukuhusu.Mambo yako mengi unayoandika huwa yanani furahisha na kunipa elimu juu ya baadhi ya mambo ambayo nilikuwa siyafahamu; sasa huwa najaribu kupiga picha huyu mtu yukoje? Ni mwongeaji au ni mkimya? Tafadhali naomba 'seriously' kabisa unidokeze japo kidogo wasifu wako Mkuu. Natanguliza shukrani
 
Asante kwa maswali yako mazito mmi ni mtu mzima ninakaribia miaka 50 . Ni Mtu mwenye kipaji Nature sijaenda shule au kama nimesoma shule basi ni kidogo ni mtu wa wastani ni mtu ambaye ninapenda mengi kujifunza.
 
Wow!! Nimefurahi na mimi kusikia utambulisho Huu!
 
Umeichunguza avatar yake vizuri??Basi huyo ndiye mkuu MziziMkavu!Ni mpana wa maarifa,ni mtafiti,si mchoyo wa maarifa,ni rafiki wa kweli, mcheshi!!
 
Asante kwa maswali yako mazito mmi ni mtu mzima ninakaribia miaka 50 . Ni Mtu mwenye kipaji Nature sijaenda shule au kama nimesoma shule basi ni kidogo ni mtu wa wastani ni mtu ambaye ninapenda mengi kujifunza.

Asante Mkuu. Nitaendelea kujifunza mengi kutoka kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…