Maneno ya Theresa May mwaka 2007

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Wakati Waziri Mkuu nchi ya Uingereza Tony Blair alivyomrithisha Uwaziri Mkuu Gordon Brown bila ya kuchaguliwa na Wananchi wa nchi Uingereza, Waziri Mkuu wa sasa mteule Theresa May alisema yafuatayo kuhusu urithishwaji wa Uwaziri Mkuu!
Izingatiwe kwamba Theresa May leo hii amekataa kata kata kuitisha uchaguzi Mkuu, hivyo anaongoza bila ya kuwa amechaguliwa, lkn haya ndiyo maneno aliyomwambia mwenzie Gordon Brown wkt alivyorithishwa!

,,So whenever Gordon Brown chooses to call a general election, we will be ready for him. He has no democratic mandate. He has a reputation tainted by his failures after a decade in office. And he has no new ideas. An early election? Bring it on,” May wrote in an article for ConservativeHome.
 
Back
Top Bottom