Hata ukifanya mazuri elfu kwa maelfu bado kuna watakaosema hujafanya ,Mbowe ana busara sana wala simsifii kwa waraka huu wa leo.Historia yake inajionyesha toka bungeni,katika chama na hata mikutano anayofanya .Labda watu wengine hawajui maana ya busara ndiyo maana wanakosoa kila jambo,naomba wadau tumkubali kamanda kwa hekima na busara aliyo nayo si rahisi kwa viongozi wengi wa siku hizi na hasa watanzania kutangaza kutogombea urais wakati chama kiko kwenye peak ya mafanikio na yeye kama mwenyekit angeweza kutumia madaraka kulazimisha agombee urais lakini ametumia busara na hekima aliyopewa na Mungu akatangaza kutogombea.