Maneno ya Mbowe kuhusu maadili na nidhamu

ZeMarcopolo

Platinum Member
Joined
May 11, 2008
Posts
14,279
Reaction score
7,681
Mh. Mbowe ametoa waraka huu kupitia TANURU LA FIKIRA la facebook.

Ni maneno ya busara, lakini najiuliza. Hivi kwanini Mbowe na SLaa siku hizi wameikacha Jamiiforums, badala yake wanatumia mtandao wa facebook na hasahasa kikundi cha TANURU LA FIKRA.

Kwani sisi hapa JF tumewakosea nini?
Mbona zamani walikuwa wanakuja kabla ya uchaguzi mkuu wa 2010?

Freeman Mbowe:

"Maadili ni kama kingo za mto na binadamu ni kama mto, unaweza kufikiri madhara ya mto unapofurika na kingo zake kuharibika, au uhai wa mto pasipo kingo,nidhahiri kabisa hautokuwa na mwelekeo maalum, kwahiyo maadili yanatuelekeza sehemu tunapotaka kwenda na yanatukinga dhidi ya uharibifu, Maadili ni muhimu sana katika ujenzi wa taifa lolote lile, bila nidhamu taifa lolote halitoweza kuendelea.

Maendeleo ya kiuchumi na ustawi wa jamii hauwezi kufikiwa pasipo nidhamu na maadili, Hatuwezi kuwa na jamii yenye mpangilio mzuri pasipo maadili. Maadili ni kitu ambacho kiko ndani ya binadamu kinachomwelekeza kati ya sahihi na potofu.

Taifa lazima lijengwe kwenye misingi ya nidhamu na maadili ndipo maendeleo ya kiuchumi yatakapokuja.Maadili ni jambo la msingi sana katika taifa, lazima tujenge maadili ya familia zetu, lazima tujenge maadili ya vijana, taifa na maadili ya viongozi.

Tunaweza kusema maadili si muhimu kwa mfano, tuwafundishe watoto wetu elimu tu ya kawaida, wafike chuo kikuu wapate ujuzi wao, wakipenda starehe kupita kiasi tuwaache, wakiwa wazinzi na walevi tuwaache, Mimi sifikirii kijana mwenye tabia kama hizi , unaweza kumpa majukumu akawa mwaminifu na mchapa kazi hodari, nara nyingi vijana wa namna hii akili zao hazijatulia, lazima tuwe makini jinsi tunavyolea watoto wetu na vijana wetu, tuwalee katika misingi ya maadili na utaifa, wajue, wanamajukumu binafsi, kwa familia, jamii na kwa taifa.

Mkandarasi tuliyemfundisha kwa pesa yetu, ile awe mwenye manufaa kwa jamii yetu, Kama tukimpa kazi anachakachua,hatakuwa na faida kwetu,na elimu yake itakuwa haina maana .

Tulitegemea kwamba atawajibika kwetu katika kujenga jamii, yeye akiwa kama mmoja wetu anayeunda taifa hili, ili afanye taifa hili liwe bora na la kupendeza.

Katika historia ya mwanadamu amefikia mafanikio makubwa pale tu walipamoja kama jamii. Sisi sote ni wamoja na dhumuni letu liwe ni kujenga taifa hili kwa faida ya vizazi vyetu vijavyo, tunajukumu la kulilinda na kulijenga taifa hili kwa jitihada zetu zote kwa faida ya vizazi vijavyo.

Kuanguka na kunyanyuka kwa tawala yeyote ile kunategemea sana misingi ya kimaadili na kinidhamu ya taifa hilo, pasipo nidhamu taifa lolote halitoweza kupiga hatua ya kimaendeleo, Taifa lisilokuwa na nidhamu ni kama mbegu zilizomwagwa shambani bila mpangilio,haliwezi kuzalisha chochote, mimea itaota na kufa, utakuwa na watu upande mmoja wanajenga taifa na upande mwingine
wanaiba kile tunachokijenga, utakuwa na viongozi wasiowajibika na wafanyakazi wanaofika kazini saa tatu, utakuwa na wabunge wanaochaguliwa vijijini na kuja mjini kustarehe na badala ya kuishi na wananchi na kujua matatizo yao na kuyatatua kwa pamoja, tutakuwa na taifa lisilokuwa na mpangilio wala heshima,hatutaweza kujenga taifa la watu wanaojitolea kwa dhati kwaajili ya ujenzi
wa taifa lao wenyewe. Tutazaa watu wabinafsi na mantiki yote ya sisi kuishi kama taifa itafutiki, kutokana na huu ufisadi na ubinafsi utatupelekea tupigane vita na taifa tulilolijenga litafutika kabisa, ni lazima kila mmoja wetu katika taifa hili ajue ana jukumu la dhati kabisa katika ujenzi wa taifa hili, kwa sababu majaliwa ya taifa hili ni majaliwa ya kila mmoja wetu.

Elimu na sheria vina nafasi kubwa sana katika kujenga maadili ya jamii, katika mwelekeo tunaoutaka na katika kubadilisha tabia za watu, ili kujenga raia wema na kuunda taswira ya taifa tunalolihitaji, kulinda utaratibu na muundo mzima wa taifa, pasipo sheria hatuwezi kuwa na kitu kinachoitwa taifa, ni kama yai na gamba lake, Taifa lisilotii utawala wa sheria kuna uwezekano mkubwa taifa
hilo likasambaratika, sheria ndizo zinazolinda taifa, Ni jukumu la kila raia kuzitii, KWani tumejiwekea sisi wenyewe kama muungozo wetu, zinalinda haki za kila mmoja wetu na mahusiano yetu kama binadamu.

Tumeunda mahakama, bunge, polisi nk Lengo letu ni kujenga jamii bora yenye nidhamu na utaratibu, amani yetu itakuwepo ikiwa vyombo hivi vitafanya kazi yake kikamilifu na kwa uaminifu na kwa mashirikiano bila kuangalia vyama bali vikisukumwa na uzalendo na hamu ya kuona taifa hili likiendelea, lazima tutambue sisi ni watu wamoja na lazima tuwe na malengo kama taifa. "
 
Ajifunze kusema na kutenda sio propanganda tu, nidhamu wapi na wakati chama chake hakina maadili hata kidogo. Wanapuuza hoja za msingi za wanachama wanajikumbatia wao na kuonekana kama Miungu watu.

Naiona Chadema kama chama ambacho kingeweza kuleta ukombozi wa mtanzania lkn sio chini ya akina Mbowe, Zitto na Slaa. Wakubali siasa za kukosolewa kwanza.
 
Afunge kwanza Danguro lake la Bilicanas alilorithi toka kwa Mzee wake as sio sehem ya Maadili yetu wa Tz!
 
Mpeni Shunza,Nepi na Migulu wasome!
 
maadil yap kumbe mwanae akikosea anamfukuza,chama kiko vipande na kuja kufika 2015 chama kwisha kazi wana piga pesa hq kumbe mikoan hamna hata mia,shame on u mbowe
 
Mimi napoke ujumbe wowote ule hata kama hauanzii jf! Si lazima kuandika jf! Lakini ujumbe wana jf tumeupata!

Ujumbe wa ukweli na uhakika!

Big up mbowe!
 
Ajifunze kusema na kutenda sio propanganda tu, nidhamu wapi na wakati chama chake hakina maadili hata kidogo. Wanapuuza hoja za msingi za wanachama wanajikumbatia wao na kuonekana kama Miungu watu.

Naiona Chadema kama chama ambacho kingeweza kuleta ukombozi wa mtanzania lkn sio chini ya akina Mbowe, Zitto na Slaa. Wakubali siasa za kukosolewa kwanza.

Mmmm!Tumefika huku?...hatujui hata tofauti kati ya KUKOSOA,KUTUKANA NA KUKASHIFU?Something must be very wrong somewhere!Taifa linaangamia kwa kukosa maadili,ubinafsi umewajaa wengi wetu!It seems no body cares about this country,about others or the future generations so long as yeye na labda ndugu zake wa karibu wamepata wanachotaka!Usomi wa wasomi wetu wengi upo kwenye vyeti tu!ooh Tanzania where are you haeding to?!!!!!!!!!!!!
 
Ajifunze kusema na kutenda sio propanganda tu, nidhamu wapi na wakati chama chake hakina maadili hata kidogo. Wanapuuza hoja za msingi za wanachama wanajikumbatia wao na kuonekana kama Miungu watu.

Naiona Chadema kama chama ambacho kingeweza kuleta ukombozi wa mtanzania lkn sio chini ya akina Mbowe, Zitto na Slaa. Wakubali siasa za kukosolewa kwanza.

Haya maandishi uliyoyaandika umeyafikiria kabla hujayaandika?na umeyafikiri kwa kutumia kichwa au masaburi mkuu?
 
Ujumbe umefika, na mwenye kuelewa ameelewa na asiyetaka aache!
 
Safi sana kamanda Mbowe wenye kuelewa wameelewa unachomaanisha wasio elewa watakuja na yao!
 
Pamoja na kwamba Mbowe HAFAI tena kuendelea kuongoza CHADEMA, lakini ujumbe wake huu ni mzuri. Tujifunze kuangalia contents na sio udhafu wa mtu. Ujumbe huu wa Mbowe ameutoa muda muafaka, kwa sababu gazeti la rai la wiki hii limetaka kutetelesha nafasi yake kisiasa.
Hongera Mbowe, ila RUDI JAMIIFORUMS.
 
Maadili ni kama kingo za mto na binadamu
ni kama mto, unaweza kufikiri madhara ya
mto unapofurika na kingo zake
kuharibika, au uhai wa mto pasipo kingo,
nidhahiri kabisa hautokuwa na mwelekeo
maalum, kwahiyo maadili yanatuelekeza
sehemu tunapotaka kwenda na
yanatukinga dhidi ya uharibifu, Maadili ni
muhimu sana katika ujenzi wa taifa lolote
lile, bila nidhamu taifa lolote halitoweza
kuendelea.

Maendeleo ya kiuchumi na
ustawi wa jamii hauwezi kufikiwa pasipo
nidhamu na maadili, Hatuwezi kuwa na
jamii yenye mpangilio mzuri pasipo
maadili. Maadili ni kitu ambacho kiko ndani
ya binadamu kinachomwelekeza kati ya
sahihi na potofu.

Taifa lazima lijengwe kwenye misingi ya
nidhamu na maadili ndipo maendeleo ya
kiuchumi yatakapokuja.Maadili ni jambo la
msingi sana katika taifa, lazima tujenge
maadili ya familia zetu, lazima tujenge
maadili ya vijana, taifa na maadili ya
viongozi.

Tunaweza kusema maadili si muhimu kwa
mfano, tuwafundishe watoto wetu elimu
tu ya kawaida, wafike chuo kikuu wapate
ujuzi wao, wakipenda starehe kupita kiasi
tuwaache, wakiwa wazinzi na walevi
tuwaache, Mimi sifikirii kijana mwenye
tabia kama hizi , unaweza kumpa
majukumu akawa mwaminifu na mchapa
kazi hodari, nara nyingi vijana wa namna
hii akili zao hazijatulia, lazima tuwe makini
jinsi tunavyolea watoto wetu na vijana
wetu, tuwalee katika misingi ya maadili na
utaifa, wajue, wanamajukumu binafsi, kwa
familia, jamii na kwa taifa.

Mkandarasi tuliyemfundisha kwa pesa
yetu, ile awe mwenye manufaa kwa jamii
yetu, Kama tukimpa kazi
anachakachua,hatakuwa na faida kwetu,
na elimu yake itakuwa haina maana .

Tulitegemea kwamba atawajibika kwetu
katika kujenga jamii, yeye akiwa kama
mmoja wetu anayeunda taifa hili, ili
afanye taifa hili liwe bora na la kupendeza.

Katika historia ya mwanadamu amefikia
mafanikio makubwa pale tu walipamoja
kama jamii. Sisi sote ni wamoja na
dhumuni letu liwe ni kujenga taifa hili kwa
faida ya vizazi vyetu vijavyo, tunajukumu
la kulilinda na kulijenga taifa hili kwa
jitihada zetu zote kwa faida ya vizazi
vijavyo.

Kuanguka na kunyanyuka kwa tawala
yeyote ile kunategemea sana misingi ya
kimaadili na kinidhamu ya taifa hilo,
pasipo nidhamu taifa lolote halitoweza
kupiga hatua ya kimaendeleo, Taifa
lisilokuwa na nidhamu ni kama mbegu
zilizomwagwa shambani bila mpangilio,
haliwezi kuzalisha chochote, mimea itaota
na kufa, utakuwa na watu upande mmoja
wanajenga taifa na upande mwingine
wanaiba kile tunachokijenga, utakuwa na
viongozi wasiowajibika na wafanyakazi
wanaofika kazini saa tatu, utakuwa na
wabunge wanaochaguliwa vijijini na kuja
mjini kustarehe na badala ya kuishi na
wananchi na kujua matatizo yao na
kuyatatua kwa pamoja, tutakuwa na taifa
lisilokuwa na mpangilio wala heshima,
hatutaweza kujenga taifa la watu
wanaojitolea kwa dhati kwaajili ya ujenzi
wa taifa lao wenyewe. Tutazaa watu
wabinafsi na mantiki yote ya sisi kuishi
kama taifa itafutiki, kutokana na huu
ufisadi na ubinafsi utatupelekea tupigane
vita na taifa tulilolijenga litafutika kabisa,
ni lazima kila mmoja wetu katika taifa hili
ajue ana jukumu la dhati kabisa katika
ujenzi wa taifa hili, kwa sababu majaliwa
ya taifa hili ni majaliwa ya kila mmoja
wetu.

Elimu na sheria vina nafasi kubwa sana
katika kujenga maadili ya jamii, katika
mwelekeo tunaoutaka na katika
kubadilisha tabia za watu, ili kujenga raia
wema na kuunda taswira ya taifa
tunalolihitaji, kulinda utaratibu na muundo
mzima wa taifa, pasipo sheria hatuwezi
kuwa na kitu kinachoitwa taifa, ni kama
yai na gamba lake, Taifa lisilotii utawala
wa sheria kuna uwezekano mkubwa taifa
hilo likasambaratika, sheria ndizo
zinazolinda taifa, Ni jukumu la kila raia
kuzitii, KWani tumejiwekea sisi wenyewe
kama muungozo wetu, zinalinda haki za
kila mmoja wetu na mahusiano yetu kama
binadamu.

Tumeunda mahakama, bunge,
polisi nk Lengo letu ni kujenga jamii bora
yenye nidhamu na utaratibu, amani yetu
itakuwepo ikiwa vyombo hivi vitafanya
kazi yake kikamilifu na kwa uaminifu na
kwa mashirikiano bila kuangalia vyama
bali vikisukumwa na uzalendo na hamu ya
kuona taifa hili likiendelea, lazima tutambue
sisi ni watu wamoja na lazima tuwe na
malengo kama taifa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
maneno ya busara haya, kipindi hiki yanahitajika sana ili kuujulisha umma wa watanzania ni wapi uongozi wa cdm unasimamia katika yale yanayoendelea kutokea kwa sasa. kwani tushajua kipindi hiki cha sakata la gesi ya mtwara na kuelekea uchaguzi wa 2015 yatatokea mengi ya kutaka kuuchafua uongozi wa cdm yakiuhusisha na vitendo vya kihuni vinavyofanywa na mapandikizi ya ccm. hivyo busara kama hizi kipindi hiki zinahitajika sana ili hizo propaganda chafu zisifanikiwe! with time kama ilivyo kwa siku ya kufa nyani, miti yote itateleza na watakosa pa kushika na tutaizika ccm kwa nyimbo na mapambio!!
 
Afunge kwanza Danguro lake
la Bilicanas alilorithi toka kwa Mzee wake as sio sehem ya Maadili yetu
wa Tz!
... mhhh! unafikiri kwa kutumia mawazo ya panzi ... laki una mawazo mazuri sana wewe..! loooh! pole sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom