Sasa hivi naona kama Koti Limebana - Elekeza macho yako kwenye TV uwaone wanavyopeana vijembe.......Ndugu wazanzibari wenzangu msisononeke wala kufadhaishwa na muungano huu kwa sababu Muungano ni kama koti unalivaa likikubana Unalivua..."
Swali zuri sana. Abeid? Amani? Ally? Fatma? au?Karume gani ??? 
Sasa hivi naona kama Koti Limebana - Elekeza macho yako kwenye TV uwaone wanavyopeana vijembe....
Swali zuri sana. Abeid? Amani? Ally? Fatma? au?
na aliyasema lini hayo maneno?
Kinachonishangaza matusi na vijembe vilivyokuwa vikitolewa kwenye mitandao ya kijamii dhidi wa Wadanganyika vilikuwa vinatutisha tu?Kwa nini leo wameanza kulumbana wenyewe kwa wenyewe?Imeshangaza wanatoleana kashfa,matusi na vijembe visivyo na hadhi ya kutolewa bungeni.
Kuaibishana ndiko kumekuwa ajenda na hoja kuu,na Katiba imeachwa,sasa sielewi yupi anasema ukweli na yupi anatafuta TONGE.Hebu tuelezeni Wazanzibar nini mnataka?
Wakirudi kwao ndio wanahamasisha Watanganyika wachomewe biashara zao. Dodoma wanajidai wanaupenda sana muungano. WanaCCM Zanzibar ni wanafiki wakubwa kupata kuona hapa Tanzania?
Abeid Amani Karume Sr.
Wakirudi kwao ndio wanahamasisha Watanganyika wachomewe biashara zao. Dodoma wanajidai wanaupenda sana muungano. WanaCCM Zanzibar ni wanafiki wakubwa kupata kuona hapa Tanzania?
Hatuna Karume mwenye jina lenye Sr. labda kama hujui matumizi yake! Maana Karume Mzee alikuwa anaitwa Abeid Aman Karume; mtoto yeye anaitwa Aman Abeid Aman Karume. Sasa Sr inatoka wapi hapo?