kiliochangu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 1,152
- 886
Wewe ni lipumbavu lipumba manyoko! Uchaguzi wa Marekani utaulinganisha na huu wa kwetu uliojaa upumbavu? Nani asiyejua kwamba Lubuva alikuwa anatangaza matokeo yaliyopikwa Lumumba?
Nilishawaeleza watu mapema kitendo cha Trump kushinda ndani ya Republican ilikuwa tayari ndio maoni ya Wamarekani wengi.Hivi ingekuwaje Trump angeshindwa?
Povu la nini sasa?Wewe ni lipumbavu lipumba manyoko! Uchaguzi wa Marekani utaulinganisha na huu wa kwetu uliojaa upumbavu? Nani asiyejua kwamba Lubuva alikuwa anatangaza matokeo yaliyopikwa Lumumba?
Jina langu.Magonjwa mtambuka
Hiyo speech mbona ukiisoma between the lines unaona kabisa jinsi ilivyojaa kinyongo!!?
Anayakoroga na kutonesha madonda halafu anapuliza kidogo huku akijifanya anayasafisha.
Mama aangaliwe kwa karibu na kwa uangalizi maalum huyu, soon or later ata run insane
Sio wananchi bali Lowasa na genge lake. Hao wananchi wa marekani wanafanya hivyo kwa utashi wao na sio kuswagwa kama ng'ombe na chama cha Democrats. Hillary Clinton yeye ameshakubali matokeo. Usichanganye vitu hapa.Kwanini serikali haikuwapa haki ya kikatiba wananchi kuandamana ...
Sio wananchi bali Lowasa na genge lake. Hao wananchi wa marekani wanafanya hivyo kwa utashi wao na sio kuswagwa kama ng'ombe na chama cha Democrats. Hillary Clinton yeye ameshakubali matokeo. Usichanganye vitu hapa.
Ha ha ha. Bavichaa hamjambo kwa udaku....Kuna tetesi kwamba Maalim Seif atahudhuria sherehe za kuapishwa D.Trump.
..rais wa 45Siasa ya marekani usijaribu ilinganisha na ya Tz hata cku moja. Wao leo wamechagua Rais wa 40 sisi ndyo tupo wa 5.
haa haa nchi za afrika wanaoamua nani ashinde ni tume na sio umma. nikikumbuka ya zanzibar na congo ya kabila nachoka sana.
Tofauti hapa Democratic ndio wameshika dola na huku CCM ndio imeshika dola sasa kwa wao ni kwamba chama dola kimekubali kushindwa Je CCM ilikubali rejea ZanzibarKwa nini Lowasa hakuweza kusema maneno kama haya? Mpaka leo Lowasa na lichadema lake bado tu wanataka mikutano ya hadhara na kudai eti waliibiwa kura. Upuuzi mtupu. Si unaona uchaguzi umekwisha watu wanasonga mbele; sio kuanza maoperesheni ya ukuta n.k. Upinzani Tz jifunzeni.
Unasumbuka bure kuleta vijimifano ambavyo havina uwiano.Tofauti hapa Democratic ndio wameshika dola na huku CCM ndio imeshika dola sasa kwa wao ni kwamba chama dola kimekubali kushindwa Je CCM ilikubali rejea Zanzibar
Wewe ndo mpumbavu hujui unachokiandika.halafu wewe si Mkatoliki maana hatuna Wakatoliki Matutusa wasioijua Biblia umeamua kujifanya mkatoliki.Acha na sisi wewe.Mnatusema sana lkn Mwisho wa siku kitaeleweka tu Mjinga ni nani na Mwerevu ni nani??.Ibada inapaswa kuwa ya kumshukuru Mungu kwa maisha ya huyo mtu hapa duniani na kuifariji familia huku ikitukumbusha tuluobakia jukumu letu la kumtumikia Mungu
Kumuomba Mungu amsamehe marehemu huo ni wendawazimu. Ukristo unasema wazi kutubu ukiwa hai, ukishakufa hakuna namna yoyote ya kupunguza adhabu ya Mungu kwako
Makanisa hasa RC (ambalo mimi naabudu) sijui wanatoa wapi huu utaratibu wa kuwaombea marehemu ndani ya vitabu vya Mungu
Umeanza vizuri lkn mwishoni sijakuelewa kabisaWamarekani wanajitambua sana na wanaelewa vyema moja ya jukumu la mke ni kumpikia mume nyumbani na Wamarekani walio wengi wameliona hili kwa kumsaidia Rais wao mstaafu Bill Clinton aweze kupata muda wa kula pensheni yake huku akiwa karibu na familia yake.
Wamarekani wametuonesha kwa vitendo nchi yao si ya kisultani na ikitokea familia moja mmepata uongozi basi ni wazi kilichokupa nafasi ni uwezo wako binafsi na jina la familia kama hapa kwetu.
America inayoweza kuongozwa na mwanamke ni American chips tu ya Kinondoni. Shubaaaamiti!