kila rule ina exceptions.
Ila kama unaona ni kweli kwako basi yashike yatakuongoza vizuri.
Mkuu, kwanza hongera kwa kupata baba aliyekuusia hayo, ni maneno mazuri sana.Nianze kwa kumtakia RIP, kwani hatunae katika uso wa ardhi.
Ishi na familia yako kwa mapenzi, lakini usisahau kua mkeo si ndugu yako.
.
RIP baba judgement. Naruhusiwa kupita hapa?
Una bahati Judgement,
Mwenzenu mi babangu bosi tena dikteta kazini hadi nyumbani.
Hana story yoyote,anatoa maelekezo tu bila kuruhusu mjadala.
Hatuna uhuru nae kabisa.
duh pole yake kwa kweli mana ni sad story yenye fundisho.Hapo kwenye Red nilivyofahamu, alikwishanipa muhtasari in advance namna alivyoishi na kutendwa na mke wake wa kwanza kabla hajamuoa mama yangu.
Aliniambia kua mke wake wa kwanza alimfanyia mambo mengi ya kimsingi ikiwa ni pamoja na kuwajengea nyumba wakweze na kumjengea nyumba mkewe pembeni mbali na waliokua wakiishi, mke aliipangisha. Hati akaindika jina la mkewe.
Na ile ya wakwe Hati akaiandika jina la Ba-mkwe wake.
Pamoja na yote hayo mke huyo akaja kumsaliti katika ndoa kwa kuwa na mwanaume nje ya ndoa.
Na kusababisha ndoa yao kuvunjika.
Aidha kuna wakati fulani Baba alikua aki'deal na illegal deal (meno ya Tembo) na huyo mke wameshaachana, huyo x-wife alikwenda kumchoma kwa polisi (wa kikoloni miaka hiyo 67")
Ambapo Baba alikamatwa na baadae kufungwa.
Ndiyo akawa akiniambia mke mfanyie mengi ya kumfanyia lakini usimwekee siri zako zote bayana (japo si wanawake wote wenye tabia hii ni baadhi)
Kwa vile mume huwezi jua yupi atakae kusaliti hivyo ishi nae kwa tahadhari.
Isitoshe x wife huyo wa Baba akaolewa na mgoni wa Baba na wakaishi kwenye nyumba aliyojenga Baba.
Ndiyo likaja neno mke si nduguyo.
Eiyer ! Pole my fellow ! Alafu recently nilikua nakutana nawe several tyms hapa mitaa hii (MMU) But currently imekua nadra sana kukutana nawe.Umenifanya nitokwe machozi!Nimemkumbuka mzazi wangu wa pekee aliyenijali sana hapa duniani!I WILL AlWAYS MIS U DADY,RIP!
hakika mkeo si nduguyo...alinena babu yangu..baba jajiment
Hapo kwenye Red nilivyofahamu, alikwishanipa muhtasari in advance namna alivyoishi na kutendwa na mke wake wa kwanza kabla hajamuoa mama yangu.