Maneno wanayodanganywa wanaume

Wala hatofika hiyo safari ataishia njiani.😁
 
kiukweli mtu anayeanza na 'kama' ni muongo,sababu wangekuwa wachache hivyo hio number angeitaja exactly kwa confidence,huyo ana msululu..lol
 
mi kuna mmoja alinambia et bikra yake ilitolewa wakat anaendesha baiskeli. nikamuuliza ilipinga vingap akawa kmya, tangu siku hyo nikituma sms zinafail
 
Nje ya mada

Kuna jamaa yangu aliniambia kama unataka kuoa mwanamke wa Kichaga basi hakikisha Unajua kupiga makofi

akanaiambia ukichekacheka nae ukajifanya unajua mahaba inakula kwako
Hahaha ngoja waje.
 
Ha ha ha...hilo swali halijawahi kuwa na jibu la ukweli hata siku moja idadi ni huyo huwa haiongezeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…