Maneno sahihi ya kiongozi

Maneno sahihi ya kiongozi

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Posts
9,214
Reaction score
14,926
Ccm jifunzeni kutoka kwa rais mteule wa Zambia
RAIS MTEULE WA ZAMBIA

  • Nataka tuonyeshe tofauti kati Yetu na wao
  • Nilikamatwa mara 15 na kuwekwa ndani.
  • nilipigwa mabomu
  • Habari za mikutano Yangu hazikutangazwa na TV YA TAIFA

Ili kuonyesha kuwa sisi ni Tofauti na wao

- Nawasamehe wote
-Rais Mstaafu uwe na Amani
  • hakuna Bomu la machozi litakupata
  • Endesha mambo Yako kwa mujibu wa Sheria na hakuna atakayekugusa
  • TV ya Taifa onyesheni mambo Ya wapinzani pia. Msipoyaonyesha watazamaji watapungua. Watazamaji wakipungua hamtapata Matangazo. Mkikosa matangazo Mtakufa na mtafunga
  • wafuasi wangu msilipize Kisasi.
  • kama kuna mtu alikutendea vibaya usilipe kisasi.
  • ukienda ukavamia super makert na kuiba unakua unaharibu KAZI maana kuna watu watakosa kazi na sisi tumeahidi kuongeza ajira

  • wafuasi wangu mkiharibu mali za wapinzani wetu mnaharibu UCHUMI wa Taifa. Mali zao ni mali za Taifa pia. Ukiziharibu unaharibu uchumi
  • wafuasi wangu pelekeni Amani kwa waliowanyanyasa hapo nyuma. Waambieni huu ni wakati wa kuunganisha nchi

  • Taifa lilogawanyika halitashinda VITA ya uchumi
  • Nataka zambia iwe ya Wazambia WOTE bila kujali umezaliwa wapi na umezaliwa na nani mradi wewe ni Mzambia

- Amani ikiwepo Biashara mpya zitaanzishwa. Wawekezaji Watakuja

Hayo ni maneno Ya Rais mteule MR HH wa Zambia
 
Nice move 💪💪💪
 
Siku ya kuingia Ikulu kila rais wa Africa huwa anaongea logics sana. Mpe mwezi tu aanze kuonja utamu wa madaraka na watu waanze kudai afanye maamuzi fulani fulani ambayo yapo kisheria ila yeye ataona kama wataathiri awamu yake ya pili

Hapo ndio utamuona Muafrika halisi
 
Hili ni dongo kwa Lisu... Bila shaka hatorudia tena kwenda ulaya au UN kuomba nchi wafadhili watunyime misaada, na kutuwekea vikwazo ambavyo vitamuathiri hata huyu mleta mada. Upinzani wa Zambia umeonesha mfano wa jinsi gani vyama, au viongozi wa vyama vya upinzani wanatakiwa kuwa.
 
Ccm jifunzeni kutoka kwa rais mteule wa Zambia
RAIS MTEULE WA ZAMBIA

  • Nataka tuonyeshe tofauti kati Yetu na wao
  • Nilikamatwa mara 15 na kuwekwa ndani.
  • nilipigwa mabomu
  • Habari za mikutano Yangu hazikutangazwa na TV YA TAIFA

Ili kuonyesha kuwa sisi ni Tofauti na wao

- Nawasamehe wote
-Rais Mstaafu uwe na Amani
  • hakuna Bomu la machozi litakupata
  • Endesha mambo Yako kwa mujibu wa Sheria na hakuna atakayekugusa
  • TV ya Taifa onyesheni mambo Ya wapinzani pia. Msipoyaonyesha watazamaji watapungua. Watazamaji wakipungua hamtapata Matangazo. Mkikosa matangazo Mtakufa na mtafunga
  • wafuasi wangu msilipize Kisasi.
  • kama kuna mtu alikutendea vibaya usilipe kisasi.
  • ukienda ukavamia super makert na kuiba unakua unaharibu KAZI maana kuna watu watakosa kazi na sisi tumeahidi kuongeza ajira

  • wafuasi wangu mkiharibu mali za wapinzani wetu mnaharibu UCHUMI wa Taifa. Mali zao ni mali za Taifa pia. Ukiziharibu unaharibu uchumi
  • wafuasi wangu pelekeni Amani kwa waliowanyanyasa hapo nyuma. Waambieni huu ni wakati wa kuunganisha nchi

  • Taifa lilogawanyika halitashinda VITA ya uchumi
  • Nataka zambia iwe ya Wazambia WOTE bila kujali umezaliwa wapi na umezaliwa na nani mradi wewe ni Mzambia

- Amani ikiwepo Biashara mpya zitaanzishwa. Wawekezaji Watakuja

Hayo ni maneno Ya Rais mteule MR HH wa Zambia
Hawa nyumbu wa kijani hawatajifunza kitu, mpaka damu zitakapowatoka masikioni.
 
Back
Top Bottom