,,Nimeanza kazi ccm 1977 nina uzoefu kuliko mgombea yeyote anaetaka kuteuliwa na ccm,hakuna anaeweza kukata jina langu msihofu na anaetaka akate langu aanze kukata lake" Edward Lowasa.
Lowasa ndiye Rais wa awamu ya 5 hilo halina ubishi angalia nguvu nyingi inayotumiwa na CCM lakini bado Lowasa anakibalika sana hilo halina ubishi pia anajiamini sana
You are more than an imbecile,you daft and great scythian,subiri umuone Lowassa ikulu na kama inakuuma get away and find a country wherein you'll seek asylum.