MANENO HAYA NI YA UKWELI........................ .Kabisa

Mungu amlinde mama yangu...picha hii imenikumbusha mpaka machozi yamenitoka baada ya baba kunitelekeza
 
kwa nini bana...yupo kazini...tena kazi halali kabisa
Kwanza hapo jua kali sana linamchapa kwa kweli anafanya kazi kwenye mazingira magumu sana.

Pili kuna watoto na wajukuu wote wanamsubiri yeye, haya maisha acheni tu.

Kwa kweli inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…