Abso-luli (ina raha yake katika kuitamka)Favorite --- fev-rit (this is one of my favorite words katika kutamka. Mengine ni comfortable, enthusiasm, absolutely, counterintuitive, intrinsic, optimism, nk)
Akili ikipoa ukujeNaomba ni 'sabskraib', nitarudi akili ikiwa iko sawa, nahitaji mno hili darasa kiukweli, maana kuna baadhi ya maneno kuyatamka huwa natenda muujiza.!!
led --- he led a big company as one of its top CEOsLead,read,red,lady
Ivoon --- hiyo "y" unaipronounce "i" kama kwenye "itika"1.Arthur - Atha
2.Yvonne - Waivon
Elite --- elit (unatamka moja kwa moja)Elite, nilikuwa nasema elaiti kumbe ni eilit
Archive nikajua ni achiv kumbe ni akaiv
LikarLiquor
Thou'Though - hili linatamkwaje wakuu
Sheep - shiip (inatamkwa taratibu)Sheep & ship
Quit - inatamkwa harakaQuit (kwit)
People are now calling on her to quit.
Quiet (kwaiyət)
Tanya, be quiet! I am on the phone.
Quite (kwait)
The food is quite delicious.
IPA transcription ya elite ni /eɪˈliːt/ mkuu. Kama ulisoma kidogo phonology utaelewa hapo.Elite --- elit (unatamka moja kwa moja)
Noma sana phonology ilikuwa kama mathematics tu. Kuchora ulimi jinsi unavyotamka vowelIPA transcription ya elite ni /eɪˈliːt/ mkuu. Kama ulisoma kidogo phonology utaelewa hapo.
Ndio mkuu, ila kitambo kidogo mambo ya word formation.Noma sana phonology ilikuwa kama mathematics tu. Kuchora ulimi jinsi unavyotamka vowel
Mkuu na Morphology umegusa kidogo?
I understand. Lakini kwa mtu ambaye ndiyo kwanza English anaisikia!? Ndiyo maana ya hiyo simplification. Actually, transcription inaweza kuwa customized kulingana na lugha ya mtu husika almradi kuna lahani (sauti) za silabi za maneno hayo, na hasa kwenye lugha ya Kiswahili ambapo maneno yanatamkwa kama yanavyoandikwa, tofauti na English (red, read, reed, rid)IPA transcription ya elite ni /eɪˈliːt/ mkuu. Kama ulisoma kidogo phonology utaelewa hapo.