Maneno gani ya Kiingereza ulikuja kujua baadaye yanasomwaje?

Indisposition ---
phonomenon
pronunciation
inclusion, precluding, seclusion, exclusion
stereotype
infinitesimal
characterizaton
recognition
pandemonium
demonization
extra-judicial killing
authoritative
discipline
hospitalization
indefatigable
millitary conscription
hypertension
infertility
inferiority
military-industrial complex
counterintelligence
merchandaisable
 
Likar
Though - hili linatamkwaje wakuu
Thou'
Sheep & ship
Sheep - shiip (inatamkwa taratibu)
Ship - sheip (inatamkwa haraka)
Quit (kwit)
People are now calling on her to quit.

Quiet (kwaiyət)
Tanya, be quiet! I am on the phone.

Quite (kwait)
The food is quite delicious.
Quit - inatamkwa haraka
Quiet - inatamkwa taratibu
Quite - inatamkwa haraka
 
IPA transcription ya elite ni /eɪˈliːt/ mkuu. Kama ulisoma kidogo phonology utaelewa hapo.
I understand. Lakini kwa mtu ambaye ndiyo kwanza English anaisikia!? Ndiyo maana ya hiyo simplification. Actually, transcription inaweza kuwa customized kulingana na lugha ya mtu husika almradi kuna lahani (sauti) za silabi za maneno hayo, na hasa kwenye lugha ya Kiswahili ambapo maneno yanatamkwa kama yanavyoandikwa, tofauti na English (red, read, reed, rid)
 
Back
Top Bottom