Maneno gani ya Kiingereza ulikuja kujua baadaye yanasomwaje?

Yanaosumbua wengi

1. Enterpreneur, najua hii inasumbua wengi mpaka saivi..kuna wanaosema entaprenaa na kuna wataosema enteprenyua

2. Kuna Virtue - wengine watasema vichu wengine vachu
3. Kuna Value - wengine watasoma Valuu wengine Valyu

Mimi lililonisumbua personally ni Genuine. Nilikua natamka 'jinain' badala ya jenyuin
Enterprenuer ---- antaprinyua, hiyo "nta" huwa soft kiasi

Made in China ---- Madeni ya China
 
Yanaosumbua wengi

1. Enterpreneur, najua hii inasumbua wengi mpaka saivi..kuna wanaosema entaprenaa na kuna wataosema enteprenyua

2. Kuna Virtue - wengine watasema vichu wengine vachu
3. Kuna Value - wengine watasoma Valuu wengine Valyu

Mimi lililonisumbua personally ni Genuine. Nilikua natamka 'jinain' badala ya jenyuin
Acha hizo mzee baba yaani vichuu
 
haya toeni ujinga hapo..
 
Attachments

  • 20201109_143625.jpg
    20201109_143625.jpg
    31.9 KB · Views: 19
  • 20201109_143607.jpg
    20201109_143607.jpg
    56.7 KB · Views: 19
  • 20201109_143552.jpg
    20201109_143552.jpg
    39.2 KB · Views: 20
  • 20201109_143539.jpg
    20201109_143539.jpg
    50.7 KB · Views: 20
  • 20201109_143524.jpg
    20201109_143524.jpg
    31.9 KB · Views: 19
  • 20201109_143457.jpg
    20201109_143457.jpg
    15 KB · Views: 19
  • 20201109_143446.jpg
    20201109_143446.jpg
    26.3 KB · Views: 19
  • 20201109_143434.jpg
    20201109_143434.jpg
    29.9 KB · Views: 19
  • 20201109_143422.jpg
    20201109_143422.jpg
    25.4 KB · Views: 19
  • 20201109_143414.jpg
    20201109_143414.jpg
    66.6 KB · Views: 20
  • 20201109_143344.jpg
    20201109_143344.jpg
    41 KB · Views: 21
  • 20201109_143340.jpg
    20201109_143340.jpg
    53.1 KB · Views: 20
  • 20201109_143337.jpg
    20201109_143337.jpg
    28.6 KB · Views: 19
  • 20201109_143333.jpg
    20201109_143333.jpg
    101.3 KB · Views: 20
  • 20201109_143229.jpg
    20201109_143229.jpg
    19.5 KB · Views: 19
  • 20201109_143215.jpg
    20201109_143215.jpg
    36 KB · Views: 21
  • 20201109_100954.jpg
    20201109_100954.jpg
    91.4 KB · Views: 19
Neno langu la kwanza la kiingereza kulijua lilikua "quickly" ila nikawa sijui kama ni kiingereza nilijua ni kiswahili.

Baba jioni alikua akitoka ofisi utasikia anatuita majina watoto wake wote huku akisindikizia na neno quickly, basi tukisikia quickly tutatoka fasta huko tulipo kuliko hiyo quickly yenyewe.
 
Yanaosumbua wengi

1. Enterpreneur, najua hii inasumbua wengi mpaka saivi..kuna wanaosema entaprenaa na kuna wataosema enteprenyua

2. Kuna Virtue - wengine watasema vichu wengine vachu
3. Kuna Value - wengine watasoma Valuu wengine Valyu

Mimi lililonisumbua personally ni Genuine. Nilikua natamka 'jinain' badala ya jenyuin
Enterpreneur

Entrepreneur
 
Back
Top Bottom