Maneno au lugha zinazonikera

Maneno au lugha zinazonikera

Inkoskazi

Member
Joined
Apr 12, 2010
Posts
34
Reaction score
17
Baada ya kumpata rais mpya Dr. Slaa pamoja na wabunge wapya, ningependa wayafute maneno/lugha hizi:
- mheshimiwa
- serikali iko mbioni
- pamoja na majibu mazuri ya mheshimiwa waziri,,,,,,
- tuko katika hatua za machakato
- tuasubiri wafadhili

Ongezea na mengine kwani tuchotaka sasa ni vitendo moja kwa moja.

"Moringe wote ni wamasai lakini sio kila mmasai ni Moringe."
 
Naongezea, nisingalipenda kusikia neno msaada pale Serikali au Mbunge anapofanya wajibu wake kwa wananchi. Kwa mfano utasikia waziri akisema "Serikali itawasaidia wananchi kujenga barabara" Kwa mtizamo wangu ni wajibu wa serikali kufanya hivyo vinginevyo isichukue kodi kwa wananchi iache wenyenchi yao wajijengee wenyewe.
 
Back
Top Bottom