Maneno au lugha zinazonikera | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maneno au lugha zinazonikera

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Inkoskazi, Oct 27, 2010.

 1. I

  Inkoskazi Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Baada ya kumpata rais mpya Dr. Slaa pamoja na wabunge wapya, ningependa wayafute maneno/lugha hizi:
  - mheshimiwa
  - serikali iko mbioni
  - pamoja na majibu mazuri ya mheshimiwa waziri,,,,,,
  - tuko katika hatua za machakato
  - tuasubiri wafadhili

  Ongezea na mengine kwani tuchotaka sasa ni vitendo moja kwa moja.

  "Moringe wote ni wamasai lakini sio kila mmasai ni Moringe."
   
 2. m

  mariabeno Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naongezea, nisingalipenda kusikia neno msaada pale Serikali au Mbunge anapofanya wajibu wake kwa wananchi. Kwa mfano utasikia waziri akisema "Serikali itawasaidia wananchi kujenga barabara" Kwa mtizamo wangu ni wajibu wa serikali kufanya hivyo vinginevyo isichukue kodi kwa wananchi iache wenyenchi yao wajijengee wenyewe.
   
Loading...