kidogo tu kiongoziMkuu uko vizuri
Ajjuss ni niniWakuu habarini za muda huu kama wewe ni mfuatiliaji wa Korean dramas naamini kutakuwa na maneno mawili matatu ya kikorea utakuwa umedokoa
Nimeainisha hapa maneno 15 ambayo yanatumika sana kwenye series za Kikorea yaani yanapatikana karibia kwenye kila series.
1 ANYEONGHASEYO -
Hello, Habari
2. MIANHAE -
I am sorry, pole
3. AIGOO -
Oooh Dear, Daaah
4. YEOBOSEYO -
Hello, Halo (Ya kwenye Simu)
5. SARANGHAE
I love You, Nakupenda
6. JUSEYO
Please, Tafadhali
7. GEUREOM
Yes, sawasawa
8.WAE
Why, Kwanini
9. ANDWAE
I can't, siwezi
10. HAJIMA
Stop it, Acha
11. EOTTEOKAE
What should i do, Nifanye nini
12. JINJA
Really?, Kweli
13. MWO
What, Nini?
14. UNNIE, OPPA
Sister, Brother, Dada Kaka
15. SEOSANGNIM
Teacher, Mwalimu
Kama utakuwa na la kwako tupia hapo tuone!
Ase mkuu napenda sana nyimbo zao zinazopigagwa ktk seriz zao kama hutojali nifahamishe jinc ya kuzipataWakuu habarini za muda huu kama wewe ni mfuatiliaji wa Korean dramas naamini kutakuwa na maneno mawili matatu ya kikorea utakuwa umedokoa
Nimeainisha hapa maneno 15 ambayo yanatumika sana kwenye series za Kikorea yaani yanapatikana karibia kwenye kila series.
1 ANYEONGHASEYO -
Hello, Habari
2. MIANHAE -
I am sorry, pole
3. AIGOO -
Oooh Dear, Daaah
4. YEOBOSEYO -
Hello, Halo (Ya kwenye Simu)
5. SARANGHAE
I love You, Nakupenda
6. JUSEYO
Please, Tafadhali
7. GEUREOM
Yes, sawasawa
8.WAE
Why, Kwanini
9. ANDWAE
I can't, siwezi
10. HAJIMA
Stop it, Acha
11. EOTTEOKAE
What should i do, Nifanye nini
12. JINJA
Really?, Kweli
13. MWO
What, Nini?
14. UNNIE, OPPA
Sister, Brother, Dada Kaka
15. SEOSANGNIM
Teacher, Mwalimu
Kama utakuwa na la kwako tupia hapo tuone!
MjombaAjjuss ni nini
Oppa yaap kaka ndo dogo langu hua ananiitaNoona=sister
Oppa/Uppa=brother
Abuchi=baba
hili ndio walipendaYeobo(Honey)
Usiondoke bila kutia neno.hili ndio walipenda