Manengelo nakupenda

My God Ogopeni Muumba wetu Sijui Dhamira yako uliemwandikia ujumbe kwenye ukurasa wangu wa Jamii forum unamfahamu vzr ?au matumizi ya mtandao kila mmoja na malengo yake¿Wengine kwetu ni darasa ,Wengine biashara,wengini Mapenzi nk?Ushauri wangu watumiaji wa Jf tujifunze na tuepuka kuweka wazi huluka tulizonazo ni kujiaibisha na kujifedhehesha Bure kwa kuandika vitu ambavyo ni chukizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam. Haya maneno yangetoka kwa mtu kama mimi at least yangesomeka....ngoja nijaribu kujifanyia sub kwa kijana au sio?

Nakala: @ Manengelo
 
Naam. Haya maneno yangetoka kwa mtu kama mimi at least yangesomeka....ngoja nijaribu kujifanyia sub kwa kijana au sio?

Nakala: @ Manengelo
😃😃😃😃😃😃
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…