Na nan tena wakati Mimi Niko na mbitiyaza wangu.Umepinduliwaaaaa
Mbona humjibu kijana wa watu?
Mbona humjibu kijana wa watu?
Na nan tena wakati Mimi Niko na mbitiyaza wangu.
Kwanza nimemumis ngoja leo nimpigie cm
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaahhaa uchwara bwanaSi amesema anakupenda jamani au...
Comment kwa comment, mstari kwa mstari, page kwa page ndani ya bus toka lfakara kuelekea mjini
Ukija usisahau kizibia pua ndani ya bus maana linatimuliwa-ga VUMBl moja la balaaaa sanauwiii nimepamis ifakara aiseee..few week nitakuwa huko...nawapenda sana kaka zangi wasukuma jaman..nikiendaga huko nakuwaga km imported goods..dah
Ukija usisahau kizibia pua ndani ya bus maana linatimuliwa-ga VUMBl moja la balaaaa sana
Hahahaaaaa
hahaaWazo zuri approach mbovu,kuna demu niliwahi kumtusi matusi makubwa na ya kutisha at last tukaishia kuwa wapenzi!! Kaza mzee.
Nakupendaga sana dada yangu, umemuona wifi yakoKwani mahari ya kwenu shingapi?
Na unataka gari aina gani?
Ukweni tumejipanga
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Tutapuuzaje wakati wewe muhusika hupuuzi?alafu mnavyozid kucomment humu ndo mnanikwaza..si mpuuzie tu jaman..alafu nakudai deni langu ww
na nimemwambia asijibu chochote ila bado hasikiiTutapuuzaje wakati wewe muhusika hupuuzi?