Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Mkuu mimi sio mwenyeji wa huko, wajuvi watakuja kukujibu.Safi sana.
Halafu mkuu hiyo milima ni ile milima Rungwe?
Mkuu mimi sio mwenyeji wa huko, wajuvi watakuja kukujibu.
Hapo anapata wapi maji mkuu mbona kajitenga sana
Mkuu tunaangalia uzaidi au mandhari, punguza majigambo.Hata Mimi ambaye ni kapuku kwangu kuzaidi ya hapo
i think soSafi sana.
Halafu mkuu hiyo milima ni ile milima Rungwe?