Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Apr 3, 2011 #1 Kuna taarifa huku mtaani mzee huyu nae alikuja kupata kikombe Loliondo, wenye taarifa ni kweli? Au ni promo ya tiba ya babu??
Kuna taarifa huku mtaani mzee huyu nae alikuja kupata kikombe Loliondo, wenye taarifa ni kweli? Au ni promo ya tiba ya babu??
Lasikoki JF-Expert Member Joined Jan 10, 2010 Posts 640 Reaction score 118 Apr 3, 2011 #2 Jama! Kama kuna mwenye picha yake akipata kikombe a2wekee hewani,maana itakuwa ni moja ya historia kwa Babu "Mwaisapile"
Jama! Kama kuna mwenye picha yake akipata kikombe a2wekee hewani,maana itakuwa ni moja ya historia kwa Babu "Mwaisapile"
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Apr 3, 2011 Thread starter #3 Kweli itakuwa historia kwa babu kama ni kweli!
komedi JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 204 Reaction score 17 Apr 4, 2011 #4 Anataka kupona ugonjwa wa uzee?