Manchester united yaifunga barcelona 2-1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Manchester united yaifunga barcelona 2-1

Discussion in 'Sports' started by white wizard, Jul 31, 2011.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Katika mechi ya kirafiki iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu na wapenzi wa soka duniani ,manchester imeibuka na ushindi wa 2-1,mabao ya man utd yamefungwa na LUIS NANI,na OWEN,na bao la barca likifungwa na THIAGO,japo barca walichezesha timu B,Man utd waliweka karibu full mziki,Game lilikuwa kali utadhani wanagombania kombe!HONGERA MAN UTD FANS
   
 2. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Hii mechi si ilikuwa ichezwe jumapili? Au niwmelewa bila kunywa?
   
 3. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Are u kiddin me....Barca hiyo without Messi, Xavi, Mascherano or Sanchezzzzzz...??????
  While Man U had a full list????????
   
 4. h

  hamidshaban JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />mechi inachezwa leo!
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Tayari mechi ilishachezwa hiyo,

  au hufahamu kwamba leo ilianza usiku wa saa sita??
   
 6. CPU

  CPU JF Gold Member

  #6
  Jul 31, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Barca walipanga kikosi F
   
 7. fikirini

  fikirini Senior Member

  #7
  Jul 31, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mimi natoa ushauri wa bure kwa man u, kwamba wasije wakabweteka, bado wana mlima mrefu kuupanda ili kuweza kuwashusha barcelona na rekodi yao.
   
 8. w

  white wizard JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Mechi imechezwa leo saa 8 usiku kaka.31.july.
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Anagalau wamefarijika ata kama kilikuwa kikosi Z
   
 10. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hongera manure kwa ushindi japo mlicheza na kikosi F cha Barsa.

   
Loading...