Naunga mkono hoja.
Anastahili bei hiyo, maana wale wachezaji wa England wanaouzwaga ghali halafu sioni hata thamani yao?
Wachezaji wetu wa kibongo nao mbona siwasikii? Wako wapi?
Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wako TP Mazembe, Patrick Mghimwa yuko Thailand, Ally Badru yuko FC Suez Canal, Adam Nditi yuko Chelsea ya London, Ivo Mapunda yuko KPL, Awadh Hassan Hafif yuko Al-Hilal ya Qatar, huyu anacheza pia timu ya taifa ya huko though ni mtanzania.
Naulizia wachezaji wa ligi na timu za kueleweka yaani EPL, Seria A, Bundesleague etc. na sio league za Thailand ama Congo ama sijui umangani.
Huyo wa chelsea mkuu anapasha bench ama anagombea namba na akina Ramirez?
Ligi na timu za kueleweka?
Kwa hiyo league zingine wanacheza madogori au, mbona sikuelewi?
Mazembe walikuwa runer-up wa klabu bingwa ya dunia mwaka 2010, walipozigonga timu ya Korea na Club America, mabingwa wa Copa Libetardores, fainali wakafungwa kimazabe na FC Internazionale.
Wakati mwingine tuache madharau kwa watu wanaojitahidi maishani ilhali sisi bado tunaishi nyumba za kupanga.
Inaonekana hutaki hata kujua hao waliopo Umangani wanafanya nini, ila tu siku moja unataka uwaone La Liga wakiimbiwa nyimbo na washabiki hapo NOU MESTALLA.
Mawazo ya kimasikini, ukipata hela kidogo unakunywa heineken na kusahau kuwa stimu ya Konyagi ya jana ndo ilikupa akili ya kutafuta hela.
kweli yo entitled to yo own choice and opinions, He who knows not, and knows not that he knows not, is a fool, shun him. we mwafrika brodha shobokea za afrika wacha hiyo ukoloni maomboleo ilo kichwani mwako, unadhani hiyo EPL, la liga etc blah blah unozishabikia ziliinuka from nowhere zikafika kule? they had patriotics fans in their own countries man ndo mana wapo huko, na league zetu nchi zetu waafrica hazitapiga hatua zozote kisoka kama aina ya mashabiki wanaojitokeza watakuwa kama wewe hapo, toa hiyo avatar ya kijeshi hapo sijui mjeda gani wewe usie mzalendo, eti mazembe zipo league za uchochoroni, jamani tushabikie league zetu za majumbani waafrika la sivyo hatutapiga hatua kisoka kabisa, we hapo unafahamu first eleven ya many foreign club abroad lkn ya azam fc huijui, angalia wa egypt wabavojitahidi, wasudan, zambia , congo, south africa, they have good competitive leagues, miakakumi mbele watakuwa mbali sana wana mashabiki wazalendo, lets make everything concerning our home priority number one hata kama wanazinguaje, hata mbuyu ulianza ka mchicha, so much to complain kwa sasa ni hayo tu
Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wako TP Mazembe, Patrick Mghimwa yuko Thailand, Ally Badru yuko FC Suez Canal, Adam Nditi yuko Chelsea ya London, Ivo Mapunda yuko KPL, Awadh Hassan Hafif yuko Al-Hilal ya Qatar, huyu anacheza pia timu ya taifa ya huko though ni mtanzania.
Inakuaje hapo nilipo-bold?anacheza under 17 au under 21 au timu ya wakubwa?maana ukicheza timu ya wakubwa ya timu ya taifa ya nchi moja maana yake huwezi tena cheza kwa nchi nyingine (maana yake utanzania unakuwa haupo hapa. Embu nifafanulie maana JF ni zaidi niijuavyo ina wataalamu wa kila namna wa kudadavua mambo