manchester united vs southampton 19:30

Bernard bakari

JF-Expert Member
Mar 30, 2016
407
781
Jose mourinho kuonesha makali yake leo hii katika fainali ya calling cup inayopigwa leo wembley saa moja na nusu saa za africa mashariki mida hiyo wadau tujisogeze kwa runinga
 
Hii mech sio rahisi kama washabiki wa Man u wanavofikiria.. Soton wako vizur nasio wa kuwabeza Kwa upande wangu nategemea Ushindan mkubwa kwenye mtanangee huu
 
Back
Top Bottom