Km tutaendelea kuamini kwamba Sosha atatuvusha basi tutaendelea kuumia, mm nimesimama kdg kutazama mechi za hii timu huwa naangalia live score tu mana inakera sana, fomesheni ile ile kila siku hakuna improvement, huwa tunategemea mtu kaamkaje cku hyo na co team.