GLORY GLORY MANCHESTER UNITED....
Let's start our season with a trophy.
Wakuu nimewahi hili kombe tunalolichukua Leo litakaaa kwangu wiki.
Niji selfie nalo
nipe location nije tulisongeshe sebene ......ila madrid leo analia mapema huwa wanalingia kati ya dimba pale na sisi leo tuna mashine zimekaza mbaya hapo kati so anzeni kusheherekea kwapa...