Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,860
Shukran mkuu kwa taarifa maana nilikuwa nimeshaanza kupekenyua michannel ya ajabu ajabuKwa wale w Live streaming kupitia mobdro,
Game itaoneshwa BT SPORT 2 ,
Tusiulizane mana kwa maneno ya Mou leo, game itakua na maugwadu ya kutosha...