Are u me/ke?
Si kasema mume wake kaja mkuu..........................
Mtani shusha dua zako mtani tafadhali nataka kufika nchi ya ahadi yenye maziwa na Asali.......ushindi ndo muhimu mtani hata nusu goli lingekuwepo ingekuwa pouwa.
Naomba utabiri wako kuhusu hii mechi, ninataka nikabet nipate hela ya kununulia bundle
United anashinda 3-0.