Ina umuhimu mkubwa sana,mimi mwenzio situation kama yako huwa nacheza kama Pele nampa yake kabisa tena vilivyojawa na kushindiliwa kisha mapema namlaza beibee wangu taratibu na petpet kibao, with smooth voice "please darling can you allow me to watch a match? Hapo inatolewa a big Yes without complication saa nying keshajilalia.....lol
Mtani shusha dua zako mtani tafadhali nataka kufika nchi ya ahadi yenye maziwa na Asali.......ushindi ndo muhimu mtani hata nusu goli lingekuwepo ingekuwa pouwa.