Kuna kitu hakipo sawa upande wa utd juu ya maamuzi. Ni kwa nini kila siku maamuzi yapo against utd?Hivi kwanini Marefa wamekuwa hawapo fair na hii timu..?
Game ya Juzi ya Liverpool ile red card imefutwa.
leo tena naona huyu refa amekuja nanmpango wake wa kando.
Unasubiri matokeo tu mkuu yaani kwasasa bado hamjakutana na Coventry city kale katim ni laanaSikuwa na huo ujasiri mimi
Timu yetu kimeo kwa sasaUnasubiri matokeo tu mkuu yaani kwasasa bado hamjakutana na Coventry city kale katim ni laana