Poleni sana kwa uvamizi wa panya. Panya huwa wanatesa sana, nawashauri muongeze usafi pale matofalini. Vilevile naendelea kuwasisitiza kuwa tafuteni kipa wa kueleweka.
Poleni sana kwa uvamizi wa panya. Panya huwa wanatesa sana, nawashauri muongeze usafi pale matofalini. Vilevile naendelea kuwasisitiza kuwa tafuteni kipa wa kueleweka.
Masingeli a.k.a Kasongo kule akitia tu shingo watu wanaondoka na kichwa yake.
Kule Kuna wananchi wenye hasira kali wamebeba masime, shoka, mundu na mabaleshi wanamsubiria kwa hamu sana, yeye mwenyewe analitambua hilo ndio maana kule hakanyagi hata apewe ulinzi wa efefyu fuso mbili.