Manchester United nao wanatiririka tu!

Manchester United nao wanatiririka tu!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,266
Idimi, Belo, mwanafunzi wangu kanitumia hii....


1235289_10151599156037273_651730884_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
...ngoja wasioitakia mema Man United kwa siku zote ngoja wajiburudishe kwanza kabla ubao haujageuka
 
Toka Wamuuze mfungaji wao pekee, Alex Fugerson wamekuwa mapoyoyo. Tulikuwa tunwaambia hawana timu walikuwa wanashinda kwa mbinu Ovu za Feggy wakawa wanabisha. Sasa ukweli unajidhihirisha.
 
Back
Top Bottom