Hoja haiendani kabisa na kichwa cha habari!world=dunia!!! unapoongelea Chelsea, liverpool, Arsenal na Manchester City ndiyo unaongelea dunia?au hujui unachokiongea?Hivi ni kwanini Manchester united ikicheza na timu nyingine mashabiki wa Chelsea, liverpool, Arsenal na Manchester City wanaishambulia? Huu ni ushabiki wa mpira kweli au personal fanatic?
Rekebisha kwanza ili tuchangie kitu kinachoeleweka!Lakini we changia tu usijali
Rekebisha kwanza ili tuchangie kitu kinachoeleweka!
Tukutuku,anachomaanisha ni kwamba man utd inachukiwa na the rest of the world,kwanini iwe hivyo?ni ngumu kukuta shabiki wa arsenal anaichukia liverpool kama anavyoichukia man utd!
Mkuu wangu sana Mc Tilly Chizenga unaweza kunitajia timu ambayo inapendwa na the rest of the world ?Nijuavyo mimi kila timu inapendwa na baadhi ya watu na baadhi hawaipendi!what speciality for Manchester united?
Mafanikio gani duniani?au ndio The sun linavyoongepea?Real Madrid watasemaje au AC Milan?Manchester ndio club yenye mafanikio kuliko zote duniani na ina mashabiki wengi