Manchester united against world

Manchester united against world

Hivi ni kwanini Manchester united ikicheza na timu nyingine mashabiki wa Chelsea, liverpool, Arsenal na Manchester City wanaishambulia? Huu ni ushabiki wa mpira kweli au personal fanatic?
Hoja haiendani kabisa na kichwa cha habari!world=dunia!!! unapoongelea Chelsea, liverpool, Arsenal na Manchester City ndiyo unaongelea dunia?au hujui unachokiongea?
 
Hoja haiendani kabisa na kichwa cha habari!world=dunia!!! unapoongelea Chelsea, liverpool, Arsenal na Manchester City ndiyo unaongelea dunia?au hujui unachokiongea?
Lakini we changia tu usijali
 
Jamani hatuongelei kwanini timu inapendwa na malkia sijui wa uingereza... Tunaongelea kwann wewe HATER unaichukia?
 
Rekebisha kwanza ili tuchangie kitu kinachoeleweka!

Tukutuku,anachomaanisha ni kwamba man utd inachukiwa na the rest of the world,kwanini iwe hivyo?ni ngumu kukuta shabiki wa arsenal anaichukia liverpool kama anavyoichukia man utd!
 
Tukutuku,anachomaanisha ni kwamba man utd inachukiwa na the rest of the world,kwanini iwe hivyo?ni ngumu kukuta shabiki wa arsenal anaichukia liverpool kama anavyoichukia man utd!

Mkuu wangu sana Mc Tilly Chizenga unaweza kunitajia timu ambayo inapendwa na the rest of the world ?Nijuavyo mimi kila timu inapendwa na baadhi ya watu na baadhi hawaipendi!what speciality for Manchester united?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Tukutuku,ngoja nijaribu kukuelewesha tena,balantanda ni shabiki wa arsenal,man utd ikicheza na timu yoyote kamwe hatakaa aombee man utd ishinde lakini kuna siku game za liver auchelsea anaweza kuombea liver au chelsea ishinde,kifupi washabiki wa timuzote hizo huweza kupeana support wenyewe kwa wenyewe lakinisi man utd,if u were man utd fan ungeelewa kirahisi sana hata kama maelezo yake hayajanyooka
 
Last edited by a moderator:
Game yetu ya leo wamezima Taa Uwanjani Fulham vipi hawa aona hawataki tuongoze Ligi kwa Point 10
 
Back
Top Bottom