Manchester city na bahati ya mtende

Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,660
11,647
Manchester city ni timu ambayo imejipatia umaarufu mkubwa hasa baada ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na matajiri kutokea mashariki ya mbali

Baada ya kujipatia umaarufu mkubwa ndani ya Barclay's premier League kutokana na kutwaa mataji yasio pungua matatu na kombe la F. A Mara kadhaa
Akili yao ikahamia kusaka mataji yaliyomaarufu zaid ya uefa champion league lkn Mara kadhaa waliishia kwenye hatua ya makundi na Mara Moja kwenye mtoano

Lkn msimu huu 2015/2016 wameenda mbali zaid hadi hatua ya semi final hii ni Mara Yao ya kwanza tangu kuanzishwa kwake japo wamekuwa wakichechemea kwenye Epl

Nichukue nafas hii kuwapongeza vijana wa engineer Emmanuel pellegren kwa Kaz kubwa mliofanya

Ila hamkuwa na bahat sana Kwan mmepewa vigongo wa Uefa kwenye hatua ya semi final Real Madrid ambao wanajua fitina zote kwenye hatua hii

Asanteni kwa kuja mjaribu msimu mwingine mtafika fainali

Kwa sababu atakaecheza final ni

Bayern Munich vs real Madrid and the champion is bayern Munich

Ni hatua kubwa kwa Manchester city pengine msimu ujao wataifikia rekod ya arsenal kucheza final

Heshima kwa manguli ya uefa pale uingereza

Manchester United and Liverpool
Bila ninyi soka la Uingereza lingekuwa si kitu mbele ya wapenda mpira

Theater of dreams
 
In football anything can happen,ni kujituma tu na kua na tactics zinazoeleweka,usiwakatishe tamaa wana Man city.
 
Ni hatua kubwa kwa Manchester city pengine msimu ujao wataifikia rekod ya arsenal kucheza final

Heshima kwa manguli ya uefa pale uingereza

Manchester United and Liverpool
Bila ninyi soka la Uingereza lingekuwa si kitu mbele ya wapenda mpira

Theater of dreams
Umenichekesha sana mkuu. Una maanisha kuwa nguli wa UEFA ni Liverpool na ManU tu kule EPL?
Unatafuta ugomvi na washabiki wa Arsenal, Chelsea, ManCity, Tottenham, Newcastle na hata Everton
Shauri yako
 
Umenichekesha sana mkuu. Una maanisha kuwa nguli wa UEFA ni Liverpool na ManU tu kule EPL?
Unatafuta ugomvi na washabiki wa Arsenal, Chelsea, ManCity, Tottenham, Newcastle na hata Everton
Shauri yako
Huo ndo ukwel Mr sherif arpaio
Manguli wa uefa pale England ni Manchester United the red devil's na Liverpool the cops

The reality should be spoken out
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom