manchester 2-blackbn 3.

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,315
13,281
hatimaye ferguson asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa aibu!safi sana, na eti bado anadai ktk dirisha dogo la usajiri la january hana mpango wa kusajiri.mi ni mpenzi wa man u,lakini kwa timu hii ni aibu,japo kuna majeruhi wengi lakini cio sababu kubwa.Na nilishatoa angalizo toka mwanzo huyo golikipa(fidodido)!
 
acha wapigwe tusherekehe mwaka vizuri maana makelele yao ni balaa
 
hatimaye ferguson asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa aibu!safi sana, na eti bado anadai ktk dirisha dogo la usajiri la january hana mpango wa kusajiri.mi ni mpenzi wa man u,lakini kwa timu hii ni aibu,japo kuna majeruhi wengi lakini cio sababu kubwa.Na nilishatoa angalizo toka mwanzo huyo golikipa(fidodido)!

Eti na wewe ni mshabiki hebu toa kelele hapa.........hakuna aibu yeyote pale mbona yanatokea sana EPL au hujaona kilichotokea darajani. Acha mpira wa vijiweni umekua sasa.
 
Back
Top Bottom