Manati

Manati

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,254
IMG-20170930-WA0015.jpg
 
Serikali Yangu bhaana, eti aliyemtishia Nape hakuwa Polisi!! Kweli inakuja akilini mtu baki tu akamzuie Nape kuongea na waandishi?
Kwanini?
Kwa faida gani?

Labda, kwasababu kiongozi kasema.
 
Hahahaaa. kwa hisani ya Cartoonist King Kinya
 
Serikali Yangu bhaana, eti aliyemtishia Nape hakuwa Polisi!! Kweli inakuja akilini mtu baki tu akamzuie Nape kuongea na waandishi?
Kwanini?
Kwa faida gani?

Labda, kwasababu kiongozi kasema.
Tatizo vijana wa cdm ufahamu wao ni duni sana. Ndio sababu Mbowe,msigwa na Lissu wanawapeleka wanavyo penda.

Umejiuliza kama yule si polisi ni nani? Je kama ni askari wa jwt? Au ni wa Tiss? Je ulitaka Mwigulu awe msemaji wa vyombo ambavyo havipo chini yake?
 
Kwanini wasimhoji?
 
Back
Top Bottom