fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,598
- 4,472
Acha kabisa.Mzee tozi alimfanya kitu mbaya haji
Jamaa boya sana anatabia za kike kike....sijaona kosa la Kitenge
Mpaka sasa sijasoma au kusikiliza popote huo uzushi.
Nilichoshuhudia ni bandiko la Manara kumnanga vikali Kitenge.
Sijajuwa bado hoja ya Manara. Labda nikipata taarifa rasmi za kile kinacholalamikiwa nijiridhishe.
Kwasasa namuona Manara mzushi na mchonganishi kati ya wanasimba na wasafi.
Lengo kumharibia kazi mwenzake.
Soma hapo ndo mzozo ulipoanzia
Unaweza uweza ukaa ujui au una akili kabsa, Tofautisha tetesi na habari. Siwezi kusema Fasiliteta amekunya adhalani afu nikasema ilikua tetesi. Ulishawahi ona tetesi inasema Morrison hajasafiri kisa kagombana na Kocha wake? Afu unakuja kusema ni tetesi.Nafikiri kwa Sasa Kuna haja aelezwe ukweli na si kuhofia kumnyanyapaa kisa ngozi yake. Anagombana na waandishi wengi na yeyote atakaye isema Simba ilimradi kwa kulinda ugali wake. Mbaya Zaidi anaingilia mpaka kwenye personal life na kumuharibia mtu image yake ndani ya jamii. Ukirudi kwa upande wake yeye ni namba moja kuongea atakalo kwa wenzie.
Waandishi wa habari wasipokua makini watashikwa mpaka kalio na huyo jamaa ili tu alinde ugali wake.
Sijawahi ona dunia nzima club inakutana na tetesi au habari ya uzushi Kisha wakaanza kumuattack mwandishi, Tena waandishi wa kule na wafanyakazi wa sekta za Michezo Wala hawafichagi ushabiki wao ktk team lakini hutoona akiattackiwa kwa ajili ya habari anayotoa.
Ethics za uandishi wa habari hana huyu Manara na hata viongozi wa Simba walijua muda tu basi ni ule ubwatukaji wake wenye lengo la kujipatia kula ndio wanaona waache.
Duniani yeye ndo msemaji pekee mwenye kuongelea club zingine na kuacha ya kwake, Ni yeye pekeee ndio anakubali tetesi za kuisifia Team yake tu na si negativity yake, Ni yeye pekeee ndio anajiona msemaji wa team na wengine sio wasemaji.
Mkimchekea Mbwa ipo siku atakufata mpaka mskitini.
Sasa wewe hujaona afu unasema Manara mzushi. Ungesubiri uipate hiyo habari then ndo useme Manara mzushi. Unatoa vipi maoni kwa kitu ambacho hujakionaMpaka sasa sijasoma au kusikiliza popote huo uzushi.
Nilichoshuhudia ni bandiko la Manara kumnanga vikali Kitenge.
Sijajuwa bado hoja ya Manara. Labda nikipata taarifa rasmi za kile kinacholalamikiwa nijiridhishe.
Kwasasa namuona Manara mzushi na mchonganishi kati ya wanasimba na wasafi.
Lengo kumharibia kazi mwenzake.
Sasa wewe hujaona afu unasema Manara mzushi. Ungesubiri uipate hiyo habari then ndo useme Manara mzushi. Unatoa vipi maoni kwa kitu ambacho hujakiona
Mtu unaanza kumuona tu nia yake, we umemu attack manara bila kujua chanzo sikutegemea kua utaisoma vizr hiyo hbari na kisa kusoma hoja ya kwanza ya manara. All the best mkuuWenye hekima wamenipa habari
Ujinga mtupu au unanyingine tofauti na hii[emoji116]
Tetesi za usajili katika soka zipo mpaka ng'ambo huko
Soma hapo ndo mzozo ulipoanzia
Ko hizo ni tetesi za usajili?Tetesi za usajili katika soka zipo mpaka ng'ambo huko
ni mbumbumbu pekee ndio watamuunga mkono Manara katika hili
Mtu unaanza kumuona tu nia yake, we umemu attack manara bila kujua chanzo sikutegemea kua utaisoma vizr hiyo hbari na kisa kusoma hoja ya kwanza ya manara. All the best mkuu
Ko hizo ni tetesi za usajili?
Nani anasajiliwa hapo? Ila wabongo.......aseee